LORD EYEZ AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI(Angalia tukio zima)



Embedded image permalink


Embedded image permalink 
Tukio zima limefanyika double view hotel, sinza. Lord amewataka watu wasimhukumu na tuwe na subira hadi mahakama itakapoamua 
Pia kasema anaandaa mchakato wa kuwachukulia hatua wote waliopotosha habari kwakuwa alishinikizwa kuonekana ameiba

Post a Comment

Previous Post Next Post