الصفحة الرئيسيةENTERTAINMENT LORD EYEZ AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI(Angalia tukio zima) Hisia نوفمبر 10, 2012 0 Tukio zima limefanyika double view hotel, sinza. Lord amewataka watu wasimhukumu na tuwe na subira hadi mahakama itakapoamua Pia kasema anaandaa mchakato wa kuwachukulia hatua wote waliopotosha habari kwakuwa alishinikizwa kuonekana ameiba
إرسال تعليق