LUCCI AJA NA STUDIO YAKE MPYA"TRANSFORMAX RECORDS"



Ni moja kati ya ma producer wakali ambao toka waanze kufanya kazi na baadhi ya wasanii wa hapa  bongo kamaCpwaa,Joh makini na wengineo, ameweza kujulikana kwa kupitia touch zake katika ngoma kadhaa sasa
Latest info kutoka kwa producer huyu ni kwamba baada ya kutokusikika katika kazi za wasanii wa hapa bongo muda mrefu sasa leo ameamua kuweka wazi kwamba alikuwa katika michakato ya kuandaa studio yake mpya na hatimaye ameshamaliza maandalizi na jina la hiyo studio inakwenda kwa jina la Transformax Record inapatikana maeneo ya mbezi beach Africana round about ya whitesands.Kwa hiyo wale wanaohitaji kufanya kazi au zile touch zake basi mnakaribishwa kuanzia sasa.

Post a Comment

أحدث أقدم