
KATIKA hali ya kawaida kabisa tendo la zinaa imezoeleka
kabisa kuwa ni lazima liwe na mazingira fulani ambapo mara nyingi
wahusika wamekuwa wakijifiha au kutaka FARAGHA ili wafanye tendo hilo
kwa UTULIVU!
Lakini katika hali isiyo ya kawaida kabisa CAMERA yetu ya GUMZO LA JIJI iliwanasa wapenzi wawili ambao walinaswa wakifanya TENDO hilo la aibu kati kati ya jiji kwenye BAR moja ambayo si marufu sana.
Wapenzi hao walionekana kujiamni
zaidi wakati wakiyafanya hayo na hivyo kuplelekea watu kudhani ya kuwa
labda ni pombe inaweza kuwa sababu na chanzo cha hayo yote.
Pombe hiyo ni pombe gani jamani mpaka
ikufanye ewe kiumbe cha mwenyezi mungu kufanya upuuzi ama kuanika
maungo yako mbele za jamii namna hii?
Taswira hii imeleta mshangao mkubwa miongoni mwa watu ambapo
mambo mengi yakiwemo MAADILI kuporomoka yametajwa kuwa sababu kuu ya
matukio ya ajabu kama haya!!
Tena nadhani tunataka sasa kushindana na ile LAANA ya SODOMA
na GOMORA!!
Post a Comment