
Mrembo pichani (jina kapuni) aliyefahamika na wengi kama mfanyakazi wa Airtel Quality Center hivi karibuni alikamatwa akiwa na rundo la vitu kibao alivyoviiba ndani ya Supermarket ya Quality Centre iliyopo barabara ya Nyerere mjini Dar es salaam.
Source: Chinga One Blog
إرسال تعليق