Zamaradi Mketema.
Mtangazaji wa kituo cha Televisheni Cha Clouds TV Zamaradi Mketema,
ambaye hutangaza katika kipindi cha “Take One”, amepata msiba mkubwa
baada ya mama yake mzazi kufariki dunia siku ya leo kutokana na ugonjwa
wa Kansa ambao amekuwa akiugua kwa muda mrefu kidogo.
Habari hii ni Kwa mujibu wa mtangazaji mwenzake Dina Marios ambaye anatangaza kipindi cha Leo tena, aliyetangaza habari za msiba huo.
Hisia za Mwananchi inapenda kutoa pole kwa mtangazaji Zamaradi, Clouds Media, ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu.

إرسال تعليق