
Ney Wa Mitego ni msanii mkali wa bongo flava aliyetokea kujipatia umaarufu mkubwa kwa ngoma zake zinazoongea ukweli moja kwa moja, yaani non-fiction, amekaribisha kiumbe kingine duniani jana usiku... Karibu True Boy Junior. Hoongera sana bro. We wish you all the best kwako, mzazi mwenzio, mwanenu, na muziki wako kwa ujumla.
Post a Comment