![]() |
| Sasa niko poa...! Ronaldo anavyoonekana katika picha yake aliyoiweka katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook. |
STRAIKA wa kimataifa wa Ureno na klabu
ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo amewashukuru mashabiki kupitia ukurasa
wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook na kuwaambia kuwa wasiwe na
wasiwasi kuhusiana na jeraha alilopata Jumapili la juu ya jicho kwani
sasa yuko 'fiti' na atakuwa tayari kuichezea klabu yake mwishoni mwa
wiki.
Cristiano ameandika: "Najihisi vizuri na natumai kuwa nitarejea uwanjani haraka."
Nyota huyo Mreno ameweka pia picha yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, akimbatanisha na maelezo ya picha ambayo yanawashukuru mashabiki kwa kumuunga mkono wakati wote: "Ahsante kwa salamu za kunitakia kheri mlizonitumia tangu siku nilipoumia. Najihisi vizuri na, natumai kurudi uwanjani mara moja nikiwa fiti kwa 100%".

إرسال تعليق