USIKU WA TAMADUNI MUZIKI NDANI YA MSASANI CLUB


 Kama wewe unapenda HipHop basi ningependa kukufahamisha kwamba kila Jumamosi unakaribishwa pale Msasani club mkabala na Ofisi za Zantel huwa kuna zile ladha za Hip Hop kutoka katika kundi la Tamaduni Muziki ambalo lina wasanii zaidi ya 20 na wasanii ambao wanajulikana katika tasnia hii ya muziki wanaofanya vizuri katika game hii ambao wapo katika kundi hilo ni Stereo,Nikki Mbishi,Songa,Ghetto,Nash emcee,Man-suli na wengineo.
                                                                     P  THE EMCEE
                                                                              Man-suli

                 Timu nzima ya Tamaduni Muziki

Post a Comment

أحدث أقدم