video ya single mpya ya Pitbull inayoitwa " dont stop the party" imepigwa marufuku kuchezwa kwenye television za UK baada ya kuonekana kutokuwa na picha nzuri kwa vijana kwa kuwa na vipande vyenye kuonyesha picha zisizofaa
inasemekana video hiyo imepatikana na makosa 25 yaliyokeuka sheria na hivyo kunyimwa airtime katika tv za UK.... video yenyewe itazame hapo chini bofya hapa kuitazama
"Don’t Stop the Party” inatoka ndani ya album yake ya saba inayofata inayoitwa Global Warming, itakayoingia sokoni November 19.
na hizi ndio pini zinazotarajiwa kuwa ndani ya album hiyo
1. Global Warming (featuring Sensato)
2. Don’t Stop The Party (featuring TJR)
3. Feel This Moment (featuring Christina Aguilera)
4. Back In Time
5. Hope We Meet Again (featuring Chris Brown)
6. Party Ain’t Over (featuring Usher & Afrojack)
7. Drinks For You (Ladies Anthem) (featuring J. Lo)
8. Have Some Fun (featuring The Wanted & Afrojack)
9. Outta Nowhere (featuring Danny Mercer)
10. Tchu Tchu Tcha (featuring Enrique Iglesias)
11. Last Night (featuring Havana Brown & Afrojack)
12. I’m Off That
Post a Comment