Katika maisha ya leo baadhi ya wanandoa hujikuta wakiwa waajiriwa ama
wafanyabiashara na hivyo hushindwa kukaa nyumbani na watoto. Katika
hali hiyo huwalazimu kutafuta msaidizi wa kazi ambaye hufanya kazi za
nyumbani pamoja na kulea watoto kwa wale walio na familia.
Kuna zile familia ambazo huwa na mtoto mmoja tu ambaye wazazi wake
wakienda kazini hubaki na housegirl. Katika mazingira hayo, housegirl
huyo huwa na muda mwingi wa kuwa huru kufanya mambo yake. Wengine
hutumia fursa hiyo kufanya mambo mazito kama jinsi kamera hizi za KTN
zilizotegwa kwenye baadhi ya nyumba na kumnasa msaidizi wa kazi
akijichua mbele ya mtoto mdogo. Ni hatari!!
إرسال تعليق