Dakika chache zilizopita, mwanaharakati maarufu nchini,Esther
Wasira,kupitia ukurasa wake wa Facebook, amefunguka na kumuandikia Mtoto
wa aliyekua waziri mkuu wa Tanzania na ambaye ni Mjumbe wa Baraza la
Wazazi Taifa na mjumbe wa UVCCM Taifa . Soma nyaraka hiyo hapa huku
tukiendelea kuleta updates zaidi na tamko la William Malecela muda mfupu
ujao!
WARAKA WA ESTHER WASIRA KWA WILLIAM J. MALECELA
W. J. Malecela, Habari ya leo, Pole sana na hongera kwa majukumu ya “Ujenzi wa Taifa”..
Mimi ni mtu ninayeheshimu sana mawazo binafsi ya watu na huwa sijibu watu hovyo au bila ya kufikiria kwanza; kwahiyo chukua jibu langu/maoni yangu haya, very seriously,maana hii ni “Calculated Response”. Katika vitu vingi nilivyoona kutoka kwenye changizo zako, ni wazi kuwa Mimi na Wewe hatujengi “Ufalme” mmoja. Mimi ninahubiri Neema na Maisha bora kwa watu, uwajibishaji, Uzalendo na kutokomeza Rushwa kwenye nchi yetu, lakini wewe Kazi kubwa unayofanya ni kuangusha matofali ya ujenzi wa Amani, Haki na Usawa, unavuruga watu waliodhamiria kufanya kazi, lakini kiukweli huwezi kufanikiwa; mark my words.

Hili jina la Wasira ni tatizo sana! Should I denounce my Surname? Is
that what you want me to do? Will that help me to acquire the “W.J.
Malecela Credibility???” Afterall, I do believe in “added
advantages”..Kama ni advantage kwa harakati za ukombozi kuwa na jina la
ukoo linalotambulika, then so be it. Inaweza ku-sound vibaya kwenye
context nyingine lakini katika hili, i dare say, “The end justifies the
Means”..Sikuzaliwa a “Wasira” kwa makosa William, and it is the fact
that Iam called Wasira that many people are 1. Enlightened 2. Challenged
3. Encouraged. Watu wanapata matumaini na wanajifunza kuwa Kupigania
Uhuru na Maslahi ya Watu ni zaidi ya affairs za “Ukoo” na ni zaidi ya
Propaganda za siasa.
William, stop for a minute and think, embu futa rangi za kijani na
njano kwa muda and just think of ndugu zako..forget propaganda za siasa,
tusichezee maisha ya watu kwasababu tuna uwezo wa kuongea lolote na
tuna fursa ya kupata madaraka. Hizi ni roho za watu, wenye haki kama
wewe na wanastahili kupata fursa kama wewe, wanastahili kuheshimiwa kama
wewe. Watu waliunda serikali na kuuza uhuru wao wa kujifanyia baadhi ya
maamuzi ambayo by nature walikuwa na haki ya kujiamulia.. Under the
Social Contract Theory of Government Formation, people create a
sovereign and they curtail part of their liberty, pay taxes to them and
in return wanategemea their government to provide Social services,
security and protection, good governance among other things.. Kwa
kiwango kikubwa watu wamekosa hivi vitu muhimu hapa Tanzania,ni haki yao
kuvipata. Kwanini William hiyo tu isikuume ukaona kuwa kuna haja ya
kuangalia Maslahi ya watu zaidi, na hilo ndiyo jukumu la sisi
tuliokanyaga darasani, sasa kwanini unabishania mambo yasiyo na msingi
na kuacha kushughulika na hoja iliyopo mezani..? au hauna uzalendo
kabisa? Has the 30 years you “claim to have politically wasted’ huko
Ughaibuni robbed you off of the sense of love for your country and your
people?
Just imagine this, Unataka kushindana na mimi Star TV Malecela?
Kwanini tushindane? Na tunashindania nini? Kushindania kugombea nafasi
nyingi za uongozi na kushinda ndani ya chama kinachoshtumiwa kulemewa na
mzigo mzito wa Rushwa? Malecela Really? Can you stoop that low my
brother? You are very old William, Umri wako na wangu ni tofauti sana,
umri wangu ni mdogo hata kuliko miaka uliyoishi ughaibuni..a competition
with Me???
Ona unayoandika William:NAKUNUKUU SASA:
“Hebu linganisha CV hapa uone kama ni fair kwa mimi ku-debate na huyu Kilaza mwenzenu:
1. Nimegombea Kata ya Kivukoni na kushinda kama Katibu.
2. Nimegombea Ujumbe wa CCM Wilaya ya Ilala na kushinda.
3. Nimegombea Ujumbe wa Wazazi Mkoa wa DSM na kushinda.
4. Nimegombea Ujumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa na kushinda, Mjumbe wa Baraza la Wazazi Taifa na kushinda, Mjumbe wa UVCCM Taifa na kushinda.

- MAJUZI KWENYE MKUTANO MKUU WA TAIFA WA CCM, NIMEGOMBEA NEC VITI 10
BARA, KATIKA WAPIGA KURA 2,000 NIMEPATA KURA 800 NA KUWA MTU WA 12, na
yote haya nimeyafanya in only 10 months baada ya 30 years majuu, sasa
imagione ningekwua sikuenda majuu kama yeye sasa hivi ningekuwa wapi?
- Sasa hebu weka CV ya huyu Kilaza wenu mtoto wa Wassira mdogo tuone kama kuna balance ya mimi ku-debate naye! ha! ha! YAANI NO WAY ANA JINA TU LA WAZIRI WA CCM WASSIRA!
I MEAN SHAME ON YOU!!KUNILINGANISHA NA HUYU KILAZA!! HA1 HA! HA!” MWISHO WA KUNUKUU…..

Kweli William, kwa Lugha hii, wewe ni kiongozi kweli? na kuna watu kabisa wamekuweka madarakani??
Kwa kukusaidia, do you know that most definitely “Malecela” ni jina kubwa zaidi ya “Wasira”?Ukitaja “Malecela” unataja 1. Makamu wa Kwanza wa rais 2. Waziri Mkuu. huoni kwamba una mzigo mkubwa sana wa kuhakikisha kuwa you dont take to ruins the “good name of your father”, embu tumia basi dhana ya “Added advantage” for the best! You believe am getting cheap popularity just cause nina ndugu mwenye jina hili CCM, embu basi lets see you do it, maana up until now, you are not doing it William. I have seen several of your contributions in many important issues, and anstead of people feeling proud of you, they always complain about you..!! Are you proud of that? Umeshawahi kujifanyia “Tathmini binafsi”?? Please I recommend some “Self Assessment exercise”.

Umeniita kilaza,sijui ukilaza wangu ni nini, well, maoni yako na
hayo; Ukilaza ni very “relative”, inawezekana ni Kilaza “ukinilinganisha
na WEWE”, itabidi nitafute busara yako ili nijifunze kutoka kwako maana
am yet to come across that attribute from you.. lakini unaposema
Mwenyekiti hana hata shahada moja,sikia nikwambie na uisajili hii kwenye
Masjala ya Akili yako kwamba, WAZALENDO 10 WASIO NA SHAHADA ZA ELIMU YA
JUU WANAWEZA KUBADILISHA NCHI YETU IKAWA A BETTER PLACE KULIKO HATA
WASOMI 100 WENYE SHAHADA ZA UZAMIVU NA WASIO WAZALENDO, WENYE TAMAA NA
UCHU WA MADARAKA NA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI KILA KUKICHA KWA MASLAHI
YAO BINAFSI…
Na kwa kukusaidia zaidi William, acha siasa za Personality!! Show
your political Maturity..Usijisahau na usiwe na kiburi cha
uzima..Uongozi mnaotaka kuturithisha sio wenye sustainability ya mawazo
mapana na yenye mantiki ya kusaidia generations to come.. Fikiria watoto
wako na wajukuu zako, they need to find a better place to dwell in and
they will play happily and celebrate your life, they will put flowers on
your grave with tears of joy and pain, that we had a Father and
Grandfather William, who fought for our country, he was a HERO..!
Lakini, kwa kupotoka huku, unaweza ukajikuta unazikwa na Manispaa!! God
forbid!! CHANGE..!!
إرسال تعليق