
Meneja
Intaneti wa Tigo Titus Kafuma (kushoto) akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu Tigo kuchagua washindi wengine 42 leo mbele ya Revenue
Assurance na Bodi ya Usimamizi wa Michezo ya Bahati Nasibu katika droo
ya pili ya mwezi ya Jumuiya ya Tigo SmartCard itakayofanya washindi
waliochaguliwa mpaka sasa kufikia 84.
إرسال تعليق