AIBU: TABIA YA KUPIGA PICHA ZA UTUPU YAENDELEA KUWATAFUNA AKINA DADA...

AIBU.....AIBU.......

Tabia  ya  kupiga picha  chafu  za utupu  imeendela kuwatafuna  akina  dada  hapa  nchini.....


Tabia hii  ilianzia  kwa  wasanii maarufu kama  WEMA SEPETU,  JACK  WA  CHUZ,  LULU MICHAEL  RAYUU na sasa  imeingia  kwa  warembo wa  kawaida ......




Pamoja na jitihada za kuwaanika watu  hawa, tabia hii  imeendelea kuota mizizi kila kukicha.Wahusika wakuu wa  uchafu  huu ni akina dada.......

Iko haja kwa  akina  dada  kujitathmini.....Kwa  nini  kila siku ni wao tu???  Kwa nini  ukubali  kupigwa  ukiwa  mtupu  tena  na  mtu ambaye  mmekutana  na kupeana  penzi tu????....


Pengine ni  tamaa ya pesa.Nadhani hii ni biashara.Nashawishika  kuamini kuwa hawa  watu hupiga hizi picha kwa makubaliano maalum ya fungu flani la pesa.....


Nasema hivi maana  ni ngumu sana kwa mtu mwenye  akili zake  kukubali  kuaibika kisa  PENZI.


Na kama  ni tamaa  ya pesa, basi  haya  ndo matunda yake  maana  KILA  MTU HUVUNA  APANDALO.... 



Post a Comment

أحدث أقدم