AJI ABDULHAKIM AMEIR ISSA AAPISHWA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Abdulhakim Ameir Issa,kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

Previous Post Next Post