BABA ATUMIA PICHA ZA NUSU UCHI ZA BINTIYE KUUZA GARI LAKE

   Lexxa akiwa amepozi mbele ya gari ya baba yake.
   Akiwa katika pozi moja 'babkubwa'.   Binti akiwa kajimwaya katika pozi la kuvutia mnada.
Lexxa akiwa katika pozi jingine la 'kibiashara'.
KATIKA harakati za kuliuza  gari lake la zamani, Kim Ridley, wa Oregon, Marekani, aliamua kutumia msaada wa binti yake Lexxa, 20, ambaye alipiga picha za ‘kutamanisha’ akiwa amepozi kwenye gari hilo ili kuvutia wanaume walinunue.
Binti huyo mwenye tattoo kibao, kipini kwenye mdomo wa chini uliotobolewa na nywele za ‘dhahabu’ alipiga picha zaidi ya kumi katika gari hilo aina ya Datsun la mwaka 1977 lenye ‘cylinder’ sita na ambalo lilikuwa limetembea mwendo wa chini ya kilomita 80,000.
Kama alivyotegemea, Ridley aliliuza gari hilo kwa Sh. Milioni 12 (Dola 7,500)!

Post a Comment

أحدث أقدم