| Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya. Bwana harusi anaonekana na majeraha baada ya kunusurika kifo katika ajali ya pikipiki na gari usiku wa kuamkia Jumapili ambayo alifunga ndoa. |
| Bwana harusi Emmanueli na mpambe wake Frank wakiingia kanisani |
| Hakika ni furaha hapa bwana harusi anamtambua mkewe kwa kumfunua shela kabla ya ndoa kufungwa |
| Sasa bana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa |
| Mchungaji Emmanuel Mwasota toka E.A.G.T toka DSM ndiyo aliyofungisha ndoa hiyo |
| Hapa bwana harusi akimvisha mkewe pete huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru mungu kwa kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea |
| Hapa wakipata mibaraka ya ndoa kutoka kwa wachungaji mbalimbali wa kanisa hilo la AGAPE |
| Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe |
| Bwana harusi akipokea cheti cha ndoa toka kwa mchungaji Mwasota |
| Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa |
| Maharusi wakiwa na familia na wazazi wao |
| Sherehe fupi ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika bustani ya ccm jijini mbeya |
| Ndugu jamaa na marafiki walihudhuria sherehe hiyo ingawa maharusi hawakuweza fika kwenye sherehe hiyo kutokana hali yake haikuwa nzuri alihitaji kupumzika na kurejea tena hospitali kuendelea na matibabu |
| Picha na Gwasa wa Mbeya yetu |
إرسال تعليق