Video mbili za sehemu ya hutuba iliotolewa na Afisa wa Habari wa Tawi la CHADEMA-DMV Ndg. Kalley Pandukizi (@kalleydsm
- aliyekuwa Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA), kwenye Sherehe za kuuaga
mwaka 2012 zilizofanyika siku ya Jumamosi Desemba 22, 2012 katika ukumbi
wa Mirage Hall kwenye jimbo la Maryland nchini Marekani.
إرسال تعليق