Hii
ni Cover Maalumu ya Wimbo Mpya wa Chibwa wa Tanchy Mkali wa Nyimbo kama
Aghibah Dance , Take It down na Summer Time, Wimbo Unaitwa Nishai
akimshirikisha Juru Mbululaa na Nyimbo ikifanywa chini ya Studios za De
Fatality Music chini ya Producer Mesen Selekta...
Wimbo Huu Utakua Released Mwanzo wa Mwaka 2013 .Na utaipata Moja kwa
Moja kwa mara ya Kwanza kupitia hapa na kwenye link zifuatazo;
Post a Comment