COVER MAALUMU YA WIMBO MPYA WA CHIBWA

Hii ni Cover Maalumu ya Wimbo Mpya wa Chibwa wa Tanchy Mkali wa Nyimbo kama Aghibah Dance , Take It down na Summer Time, Wimbo Unaitwa Nishai akimshirikisha Juru Mbululaa na Nyimbo ikifanywa chini ya Studios za De Fatality Music chini ya Producer Mesen Selekta...
Wimbo Huu Utakua Released Mwanzo wa Mwaka 2013 .Na utaipata Moja kwa Moja kwa mara ya Kwanza kupitia hapa na kwenye link zifuatazo;

www.reverbnation.com/tanchy

www.twitter.com/tanchy4ever

http://www.facebook.com/pm.chibwa

www.myspace.com/tanchy

Post a Comment

أحدث أقدم