
MeccaCheka wafanya collabo na Nakaaya na round hii track inakwenda kwa jina "Darasa Huru"
ikiwa ni Hiphop track yenye mafunzo tosha kwa jamii,"Tumewajia
ki-concious saivi maana Meccacheka wengi wanatufahamu kama wakali wa
ngoma za club zaidi kupitia "rakata","cheka Ung'atwe na "pole" tulizorecord mtindo wa kwaito/mdundiko" asema Mwiro ambaye ndio kiongoz wa kundi, Riz
asema "Meccacheka tunawashukuru zaidi washabiki wetu wote mnaotupa
shavu, kutu-support game letu pamoja na harakati zetu zingine,pia kwa
siter Nakaaya na Defxtro pande za Hisia za Mwananchikwa kutupa moyo wa kufanya yetu" kwa mawasiliano/interview na booking
za show check nasi kupitia 0654879598 & 0715652878 download darasa
huru HAPA.
Enjoy....!!!

Enjoy....!!!

إرسال تعليق