Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Dully Sykes au mtoto wa kariakoo,sasa baada ya kufanya video yake mpya inayofahamika kwa jina la utamu chini ya Director Adamu Juma kutoka Next Level sasa leo ameamua kuweka wazi kwamba siku ya tarehe moja mwezi wa Desemba anatarajia rasmi kuachia video na audio.Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Dully kaa tayari kwa hiyo huu mpya.
إرسال تعليق