 |
Gaudence
Mwaikimba, akimshukuru Kipre Tchetche kwa pasi ya bao katika mchezo wa leo wa
Kombe la Hisani kwenye Uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa, DRC. Azam ilishinda
2-1.
|
Picha Na:- Bin Zubeiry blog
 |
| Gau na Uhuru wakisababisha kwenye lango la Real |
 |
| Kocha Stewart akifuatilia mchezo |
 |
| Daktari Paulo Gomez anamtibu Waziri Salum, kulia ni Uhuru akimsaidia |
 |
| Gomez anamtoa Gau baada ya kuumizwa |
 |
| Kipre Tchetche anagulia maumivu,. Hakurudi uwanjani |
 |
| Gomez anamtibu Humphrey Mieno, hakurudi uwanjani pia |
 |
| Kutoka kuolia Abdi Kassim, Uhuru Suleiman na Zahor Pazi wakiwa kwenye benchi |
 |
| Kikosi cha Azam leo |
 |
| Kipre Balou anatafuta njia |
 |
| Mieno amewekwa chini kwenye eneo la hatari, lakini hii refa alimezea |
 |
| Himid Mao kamuacha mtu chini, anafanya mwendo |
 |
| Kipre Tcheche balaa, cheki anavyopaa |
 |
| Kipre Tchetche ni noma |
 |
| Seif Abdallah anamuacha mtu |
 |
| Nahodha Jabir Aziz akimpongeza kijana wake Seif kwa kupiga bao la pili |
إرسال تعليق