HIVI NDIVYO ROMA ALIVYOSHEREKEA B DAY YAKE MKOANI TANGA


Siku ya jana mkali wa Hip Hop maarufu kama Roma Mkatoliki,baada ya kufikisha miaka kadhaa aliweza kusherekea birthday yake na marafiki mbalimbali katika duka lake jipya linalofahamika kwa MATHEMATIX CLASSIC WEAR TANGA CENTRAL huko mkoani Tanga.



Post a Comment

أحدث أقدم