HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOSHIKISHWA ADABU NA TUSKER YA KENYA - TAIFA

Winga wa Yanga, Simon Msuva kushoto akimtoka beki wa Tusker katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tusker ilishinda 1-0.


Kikosi cha Yanga kilichoanza leo

Shabiki mpya wa Yanga, aliyehamia kutoka Simba SC hivi karibuni akiwa mwenye huzuni baada ya timu yake mpya kulala 1-0

Kikosi cha Tusker kilichoipiga Yanga leo 

Manahodha, Nadir Haroub 'Cannavaro' wa Yanga kushoto na Joseph Shikokoti wa Tusker wakiziongoza timu zao kuingia uwanjani
Hapa ni kabla ya maumivu
Nizar Khalfan kushoto akimtoka beki wa Tusker
Cannavaro akipambana
David Luhende akiwatoka mabeki wa Tusker
Nurdin Bakari akijaribu kupiga krosi mbele ya beki wa Tusker
Hamisi Kiiza kushoto
Beki wa Tusker, akimdhibiti chipukizi wa Yanga, George Banda
Banda kulia anamtoka beki wa Tusker
Msuva anamkimbiza mtu
Said Bahanuzi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tusker
Kiiza na beki wa Tusker
Bahanuzi akikokota mpira dhidi ya mabeki wa Tusker
Banda akipambana
Mpira wa juu
Mfungaji wa bao la Tusker, Dunga akishangilia baada ya kufunga

Post a Comment

Previous Post Next Post