الصفحة الرئيسيةENTERTAINMENT KALA JEREMIAH KUTOKA NA ALBUM YAKE MPYA Hisia ديسمبر 16, 2012 0 Baada ya kufanya vizuri katika baadhi ya redio na televisheni kwa ngoma yake ya Dear God, Kala Jeremiah sasa ameweka wazi kwamba siku ya tarehe 20 mwezi huu anatarajia kutoka na album yake mpya inayokwenda kwa jina la Pasaka.
إرسال تعليق