MSANII wa filamu Bongo, Jaji Khamis ‘Kashi’ amesema hakwenda nchini
Afrika Kusini kujiuza kama ambavyo watu wasiopenda maendeleo yake
wanamzushia.
Akichonga juzikati, Kashi aliyekuwa
nchini humo alisema amekwenda kwa shughuli zake za kibiashara na kazi
zake za filamu na si vinginevyo.
“Sijaenda Sauzi kujiuza kama baadhi ya watu wanavyozusha, nimeenda kwenye shughuli zangu za kibiashara na dili za kazi za kisanii, mashabiki wangu wakae mkao wa kula kwani mwakani nitakuja na vitu baab’ kubwa,” alisema Kashi.

Post a Comment