Kilimanjaro Stars,Yaizamisha Rwanda 2-0

Kilimanjaro Stars yatinga nusu fainali Cecafa, ni baada ya kuifunga Rwanda 2-0 katika uwanja wa Kagogo mjini Kampala, sasa yasubiri mshindi kati ya Uganda na Ethiopia.

Post a Comment

Previous Post Next Post