
Mmoja ya wachinjaji wa kuku
akiwajibika katika machinjio ya kuku yaliopo Soko la Manyanya, Kinondoni
jijini Dar es Salaam. Machinjio hayo yanahitaji uangalizi wa hali ya
juu likiwemo suala la usafi ili kuepuka magonjwa ya kuambukiza.

Wafanyakazi wa machinjio hayo wakichemsha maji ya ajili ya kunyonyoa.
Kila mmoja akiwa akifanya kazi kwa bidii, pembeni ni pipa lililojaa uchafu.
Ukiangalia suala la usafi ni muhimu, angalia jinsi huyu mfanyakazi akiwa ameweka kuku chIni baada ya kuwatengeneza.
إرسال تعليق