Kiongozi Mtukufu Aga Khan ambaye
ndiye Mwenyekiti wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) na Kiongozi
wa Waislamu wa Ismailia akizungumza mawili matatu ya kimaendeleo na
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mh. Shy-Rose Bhanji
wakati wa ufunguzi wa Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mkoni
Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Kidiplomasia ya
AKDN Dkt. Shafik Sachedina. ( Picha zote kwa Hisani ya Ikulu).
إرسال تعليق