Wakali kwanza wakionyesha shwo kabla ya wasanii kupanda jukwaani uwanja wa Samora leo
Msanii Ahmed Abdulaziz a.k.a Meda akifunika katika uwanja wa Samora
Msanii Roma akiwa na mdau wa mtandao huu kutoka chuo cha Tumaini Bi Grace
WAtangazaji wa radio Nuru Fm wakifuatilia onyesha hilo
Akiwa mabanga Fresh wakiimba kabla ya kupanda jukwaanui
Msanii Juma Nuture akiwajibika jukwaanui
Wadau kutoka chuo cha Tumaini wakipozi kwa picha
DJ Kwasa akiwajibika jukwaani
Mdau kutoka kampuni ya Tanzania Unique Toars Bi Dotto akifuatilia tamasha hilo
Picha na:- Godwin
إرسال تعليق