NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AKUTANA NA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS KUPATA CHAKULA CHA MCHANA


Mshindi wa maisha plus 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii  Lazaro Nyarandu Alipokua akizungumza na vyombo vya habari wakati aliposhiriki chakula cha mchana na washiriki wa maisha plus
Ridhiwani Kikwete mdau alimsindikiza naibu waziri
Baadhi ya Washiriki 15 bora wa Maisha plus wakifurahia hela walizopewa 
 washiriki wakipata chakula cha mchana
 Baadhi ya waandishi wa habari wakipata chakula cha mchana na washiriki hao wa maisha plus
 Naibu waziri akiwagawia hela wahudumu waliohudumia

Post a Comment

Previous Post Next Post