
Mshindi wa maisha plus

Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu Alipokua akizungumza na
vyombo vya habari wakati aliposhiriki chakula cha mchana na washiriki wa
maisha plus

Ridhiwani Kikwete mdau alimsindikiza naibu waziri

Baadhi ya Washiriki 15 bora wa Maisha plus wakifurahia hela walizopewa



washiriki wakipata chakula cha mchana

Baadhi ya waandishi wa habari wakipata chakula cha mchana na washiriki hao wa maisha plus

Naibu waziri akiwagawia hela wahudumu waliohudumia

إرسال تعليق