Ni ndege ndogo (namba ya usajili 5H FZS) yenye uwezo wa kubeba abiria 4
mali ya TANAPA, iliyoanguka jana (17/12/12; saa 10:55 jioni) muda mfupi
baada ya kuruka kutoka katika uwanja wa ndege wa Mpanda. Rubani alikuwa
peke yake na inaelezwa ya kwamba amepata majeraha usoni.
Soma zaidi kwenye Kataviyetu Blog
Iligonga mti wa Maembe kabla ya kutua ardhini
Picha na habari kutoka Blog ya KataviYetu
Post a Comment