![]() |
Abdallah Juma wa Kenya,
akimdhibiti Rodrick Gonani wa Malawi katika Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la
Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela,
Namboole, mjini Kampala, Uganda. Kenya ilishinda 1-0, bao pekee la Mike Barasa dakika
ya 56 na sasa Harambee Stars itamenyana na Zanzibar katika Nusu Fainali
keshokutwa.
|
![]() |
| Mike Barasa akipambana na beki wa Malawi |
![]() |
| Mike Barasa akipambana na mabeki wa Malawi |
![]() |
| Kipa Duncan Ochieng akidaka chini ya mabeki wake |
![]() |
| Gonani akipambana |
![]() |
| Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye wakati anaangalia mechi ya Kenya na malawi |
![]() |
| Kocha wa Uganda, Bobby Williamson akiangalia mechi ya Kenya na Malawi |
![]() |
| Kocha wa Tanzania Bara, Kim Poulsen akizungumza na Kocha Msaidizi wa Zanzibar, Hafidh Muhiddin kulia |
![]() | |
| Kenya wakishangilia ushindi wao Picha na Bin Zubeiry |









إرسال تعليق