RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN, AZUNGUMZA NA UONGOZI WIZARA YA ARDHI MAJI NA NISHATI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati,katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kushoto) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif. Picha  na Ramadhan Othman,IKULU.

Post a Comment

أحدث أقدم