| Mshindi
wa jezi ya Manchester united kupitia shindano la Facebook ya Airtel
bi.Seba Aggrey akionyesha jezi yake iliyosainiwa na wanachama wa timu
hiyo aliyokabidhiwa katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar Es
Salaam baada ya kutangazwa mshindi. |
إرسال تعليق