Serikali Ina Mkono Mrefu...!


Hii ndiyo ofisi ya kitongoji cha Kanyara visiwani nyamango ziwa victoria, kwa juu kama inavyoonekana kwa chini ni Sero (Mahabusu)inayotumika kuwahifadhi wa halifu ambayo mwandishi wa habari Mobini Sarya aliwekwa chini ya ulinzi kwa masaa 6. 
Kwa Hisani ya Mobindayblogspot

Post a Comment

أحدث أقدم