
Mshiriki wa BSS iliyopita, yaani Bongo Star Search, Wababa ataachia wimbo wake wa kwanza kesho... Wababa ambae alikamata nafasi ya pili chini ya Walter Chilambo [Winner] ataachia single yake hiyo ambayo itakuwa ya kwanza redioni toka mashindano hayo kuisha.
Wababa ni mmoja wa vijana wenye vipaji vikubwa vya kuimba mpaka kufikia kushika nafasi hiyo ya pili katika mashindano hayo.
Haya sasa, matunda haya... tuisubirie track hiyo halafu tuone inakuawaje...
Post a Comment