WACHEZAJI AZAM WAMTEMBELEA RAIS DRC NYUMBANI KWAKE


Wachezaji wa Azam FC, wakiwa katika picha ya pamoja na rais wa Shirikisho la Soka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), FECOFA, Omar ‘Constant’ Suleiman walipomtembelea nyumbani kwake, Mtaa wa Boulevard Juni 30 mjini Kinshasa, DRC baada ya mechi yao ya Kundi B ya Kombe la Hisani dhidi ya Dragons, iliyoisha kwa sare ya 1-1.

Rais wa FECOFA katikati akizungumza na viongozi wa Azam, kutoka Jaffar Iddi na Mapwisa na kushoto Nassor Idrisa na 

Post a Comment

Previous Post Next Post