![]() |
Wachezaji wa
Azam FC, wakiwa katika picha ya pamoja na rais wa Shirikisho la Soka Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC), FECOFA, Omar ‘Constant’ Suleiman walipomtembelea
nyumbani kwake, Mtaa wa Boulevard Juni 30 mjini Kinshasa, DRC baada ya mechi
yao ya Kundi B ya Kombe la Hisani dhidi ya Dragons, iliyoisha kwa sare ya 1-1.
|
![]() |
| Rais wa FECOFA katikati akizungumza na viongozi wa Azam, kutoka Jaffar Iddi na Mapwisa na kushoto Nassor Idrisa na |


إرسال تعليق