Msanii Baby Joseph Maarufu kama Baby Madaha amekanusha habari
zinazozagaa mtaani kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Slim. Baby
aliongeza kuwa yeye na Slim ni mtu na Shemeji yake na kwamba wamekuwa
karibu siku za hivi karibuni kutokana na kumshirikisha Slim katika Video
yake Mpya. Kwake yeye ni Bora Maisha ya U single kuliko kujihusisha
katika Mapenzi Tena.
Post a Comment