Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
wakimsikiliza Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano) Mh. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) alipokuwa akifungua
kikao cha siku mbili katika Hotel ya Hilux mjini Morogoro.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mh. Samia Suluhu Hassan
(katikati) akifungua kikao cha siku mbili cha Baraza la wafanyakazi wa
Ofisi ya Makamu wa Rais. Kikao hicho kinafanyika Mkoani Morogoro. Wa
kwanza kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Ndg. Sazi Salula
na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi
Mwihava.
Waziri Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mh. Samia Suluhu Hassan
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa
Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kufungua mkutano wa siku mbili
katika hotel ya Hilux mjini Morogoro. (Picha zote na Lulu Mussa)
إرسال تعليق