
Msanii wa Bongo Fleva maarufu kama Ben Pol baada ya kutamba na
ngoma kali nzuri hapa Tzee sasa mwaka huu amejipanga vema na pia
anatajia kuachia ngoma nyingine kali inayokwenda kwa jina la Jikubali.Kwa wale mashabiki wa Ben pol kaeni tayari kwa ujio huo mpya kutoka kwa Ben Pol.
إرسال تعليق