الصفحة الرئيسيةENTERTAINMENT BREAKING NEWS: SAJUKI HATUNAYE TENA DUNIANI Hisia يناير 02, 2013 0 Msanii nguli wa filamu nchini Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki dunia leo hii katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa anatibiwa. Kwa taarifa zaidi kuhusu na taarifa za mazishi endelea kutembea mtandao huu.
إرسال تعليق