BREAKING NEWZZZ: MFUGAJI AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI MOROGORO

Habari zilizotufikia hivi punde ziunasema mfugaji ameuwawa kwa kuapigwa risasi  mdomon na imetokea kisogon,tukio hilo limetoke ullanga mkoani morogoro.habari zaidi endelea kuifuatilia hapa. Kwa wakati huu tupo safarini  ya kuelekea  ulanga kujua mengi zaidi kuhusu habari hii

Post a Comment

أحدث أقدم