

Kutokana na kisanga hicho, Muigizaji kutoka nchini Nigeria, Mwanadada
Cossy O. Amewaomba radhi mashabiki wake na jamii nzima kwa ujumla
kutokana na kuzagaa kwa picha zake za kimitego mtandaoni. Kupitia
akaunti yake ya twitter amesema kwamba hakutarajia kama mambo yangekuwa
hivyo.
-->
إرسال تعليق