Demi Moore mwana mama miaka 50, Muigizaji huyo wa Holly wood wiki
iliyopita aliamua kwenda Mexico kupumzika, ambapo alishuhudiwa ufukweni
na kamera za wadaku akiwa ndani ya Bikini huku mwili mzima akijiweka
michanga, kitendo ambacho kimezoeleka kinafanywa na mabinti wa miaka 20
hivi hadi 25.
Post a Comment