USIKU
wa Jumamosi, msanii Nasseb Abdul “Diamond” alipiga bonge show ndani ya
ukumbi wa Navy Beach Kigamboni na kukiteka kitongoji chote.
Umati
wa watu ulifurika ukumbini hapo utaadhani wameingizwa bure, Diamond
akawapeleka msobe msobe mwanzo hadi mwisho na kuufanya usiku huo uwe wa
kihistoria kwa wakazi wa Kigamboni.
Onyesho
hilo lililoandaliwa na YUNEDA Entertainment kwa kiingilio cha sh. 8000
linachukuliwa kama ndio onyesho kubwa zaidi kufanyika ukumbini hapo.
Casto Dickson,Penny,Esma Platnmz & Dallas wa Wolper
Mama wa Diamond naye hakubaki nyuma hapa akiingia ukumbini na Romeo
Post a Comment