Download | TWO NEW TRACKS

Nitrack kutoka kwa wanamember wa Wegamba Family. Sulesh & R.Mau. Hawa jamaa ni mapacha, R.Mau akiwa chuo cha SAUTI Mwanza akichukuwa Degree ya Mass Communication na Sulesh akiwa Anasomea Public Relation chuo cha DSJ Dar-es-salaam. Sikiliza na Download track zao mbili hapa.

CASH RIGHT HERE_SULESH & R.MAU.

 

NAAMINI SIPOTEI_SULESH & R.MAU.

Post a Comment

أحدث أقدم